Natafuta kazi ya ya udereva

Jan 26, 2015
41
13
Ndg wanajamii wenzangu naleta maombi kweni yeyote mwenye taarifa sehemu kuna nafasi kazi za dereva naomba anijuze tafadhali.Nna grade ONE na Two ya driving kutoka NIT pia elimu ya computer kutoka UDSM computing centre.na elimu ya kidato cha nne.Nna uzoefu wa miaka saba bila kusababisha ajari.mawasiliano Email.saidikalindura@yahoo.com
 
Hbr wanajamvi. Mimi ni dereva mwenye leseni deraja C Natafuta gari ndogo ya kufanya nayo uber. Nna uzoefu wa miaka mitatu na uber. Mawasiliano ni 0783213411
 
Nimefanya hii kazi Kwa muda wa miaka mitatu na nimefanya trip zaidi ya elf mbili na mia sita therasin 2630.mtu pia akitaka habari zangu zaidi tunaenda kwanza uber wanampa.
 
Hivi ni therasin au thalasin?
Alafu dereva unaijua hadi JF wewe si utaniibia kabisa hivihivi naona?
 
Leseni yangu ni daraja A,B,D,E,C,C1,C2,C3. Naombeni msaada wenu waungwana gari yoyote nafanyia kazi uber ili mradi tu uber waikubali. Mawasiliano.. 0783213411.
 
Mkuu usikimbilie tu kwa kuwa una uhitaji hiyo hesabu sio kitoto kwa hali ya magu
Sasa mama unategemea atafanyaje?
Sometimes mtu inabidi ukubaliane na hali tu maana huna LA kufanya
Ni bora apate hyo elfu 20 kwa siku kuliko siku ipite hivi hivi
 
Sasa mama unategemea atafanyaje?
Sometimes mtu inabidi ukubaliane na hali tu maana huna LA kufanya
Ni bora apate hyo elfu 20 kwa siku kuliko siku ipite hivi hivi
Uko sawa kabisa mkuu maana usawa huu kukaa bila kazi ni mtihani mkubwa mwanzo mgumu lakini naamini ukiwa na kazi kupata kazi nyingine lahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom