saidi kalindura
Member
- Jan 26, 2015
- 41
- 13
- Thread starter
- #21
Habari waungwana. Naitwa saidi Rashidi.
Naleta kwenu ombi kwa yoyote mwenye bajaj au kuna MTU anamjuwa ana bajaj ya mkataba naomba aniunganishe nae sio lazima iwe mpya hata kama imetumika tutaangalia miezi tu.
Mimi nakaa dar es salaam wilaya ya ilala eneo LA pugu mtaa wa bombani.
Tuwasiliane namba yangu no. 0712378559