Natafuta kazi telecom eng

Sychbh

Member
Aug 2, 2018
14
5
Habari wadau. Natafuta kazi ya kuniingizia kipato. Nina advanced diploma in electronics and telecommunications engineering. Kazi zote za electonics na electrical naweza kufanya. Ukinipa kazi za computer networking nipo vizuri mno na telecom pia. Kama una ofisi yako ya computer related issues nitakufaa sana. Nina skills za data recovery na computer repair na matatizo madogo madogo ya programs installation, upKwa sasa najitolea hiawei technologies lkn bahati mbaya hawalipi nami nakosa pesa ya kujikim. Mawasiliano yangu ni 0767106905
 
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.
Tupo Moshi ,Kilimanjaro
kama una interest tuwasiliane --0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom