Computer Engineer na Eletrical Technician natafuta kazi

Computer Engineer na Eletrical Technician natafuta kazi

Million dollars

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,070
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina Degree ya Computer Engineering pia nina Diploma ya Electrical and Electronics Engineering nina Ujuzi wa kutengeneza Systems na Softwares, Graphics design (vipeperushi, matangazo, vitambulisho na mabango) kwa upande wa Umeme nafanya Wiring, na repair vifaa vya umeme kama feni, taa, majenereta n.k

Hivyo basi nisiwachoshe Wakuu naombeni ajira kulingana na vigezo hivyo hapo juu! Nipo Dar es Salaam ila nipo huru kufanya kazi mahali popote Tanzania hii hata nje ya nchi ikibidi nipo tayari! CV na Vyeti vyote vipo nipo available 24hrs

Mawasiliano: 0654911211

NB: Nafanya kazi yoyote ile Halali inayoweza kuniingizia kipato! Kwahyo kama Una fursa nyingine usisite kunipatia usije ukasema Huyu ana Elimu kubwa hawezi kufanya shughuli hii, Hapana Nafanya shughuli yoyote coz Nguvu ninazo, Nia ninayo, Afya njema ninayo!
 
Unamaanisha kwamba unaweza kutengeneza mabango au unatafuta kampuni inayotengeneza mabango ikuajiri?
 
Unatengeneza systeams za Aina gan? Softwares za Aina gan? Unatengeneza kwa kutumia technologies zipi?
 
Nioneshe projects ulizowahi kufanya
Sasa ushasema Mimi Muongo nakuoneshaje sasa project nilizofanya? Muongo maana hana project yoyote aliyofanya! So mm muongo sina project ya kukuonesha! I hope you are happy now
 
Back
Top Bottom