Natafuta kazi Songea

Bambo za kunyumba.

Hapo nenda soko la mazao pale mjini uwe mjanja mjanja na muaminifu. Unaweza sogea kule Kitai kwenye makaa ukaanza na kazi za kufunga turubai huku unajiongeza kujifunza ufundi kama kubadili tairi,kuziba pancha kama utakuwa unajituma rahisi kupata mtu akakufundisha ufundi au udereva.
 
Nas
 
Asante sana kwa ushauri wako mzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…