DJPEREZ SHOW
Member
- Jun 18, 2019
- 23
- 19
Nashkuru mkuu ntalifanyia kaziNakushauri tembelea sites au camp za kampuni zilizoshika tenda za ujenzi wa barabara, hauwezi kosa kazi.
Kuna baadhi ya kampuni huwa wanatafuta sana ma OP.
Nna uzoefu kwenye wheel loader mkuuUngekuwa na uzoefu kwenye excavator au wheel loader ningekuunganisha fasta
Nashkuru mkuuMungu akusaidie mkuu upate kutimiza haja ya moyo wako
Nashkuru kiongoziView attachment 2936739Jamaa wako mbinga wana deal na makaa ya mawe,jaribu bahati yako
Sawa mkuu auna mtu unaejuana nae kuleNenda kwenye yard wanazo hifadhi makaa ya mawe Jitegemee Holding,Becco,Ruvuma Coal Mine hapo Mtwara maeneo karibu na Bandari na Mikindani.
Ukiwa na Nauli nenda Mbinga kwenye migodi ya makaa ya Mawe
Hapana, kama unataka kuingia Jitegemee tafuta kadi ya chama kisha muombe mwenyekiti wa vijana hapo ulipo awe mdhamini wako. Au viongozi wa chama hapo wakusaidie, vijana wenzako hapo Mtwara waliingia kwa gia hiyo na wapo mpaka sasa.Sawa mkuu auna mtu unaejuana nae kule
Nashkuru mkuu ishi miaka mingi aiseeHapana, kama unataka kuingia Jitegemee tafuta kadi ya chama kisha muombe mwenyekiti wa vijana hapo ulipo awe mdhamini wako. Au viongozi wa chama hapo wakusaidie, vijana wenzako hapo Mtwara waliingia kwa gia hiyo na wapo mpaka sasa.
PmNashkuru mkuu ishi miaka mingi aisee
Niunge Mimi mkuu kwenye ExcavatorUngekuwa na uzoefu kwenye excavator au wheel loader ningekuunganisha fasta
Namba yangu ni 0769717834Niunge Mimi mkuu kwenye Excavator