Mimi ni operator wa excavator, natafuta nafasi ya kujitolea

DJPEREZ SHOW

Member
Jun 18, 2019
23
19
Samahan sana wana JamiiForums,

Naombeni msaada kwa yeyote atae guswa m ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nmetoka chuo mwez wa tatu 2022 nmezunguka sana kutafta nafasi ata ya kujitolea nakosa jaman naombeni sana msaada wenu nipo mgololo mufindi iringa nna vyeti na leseni pia ata kwa waliopo kalibu na mashine izo naombeni ata kwa kazi yoyote ilimladi niwe kalibu na mashine izo nna cheti cha 4m 4 na nlipitia mgambo.

Namba zangu za simu

0746311461
 
Ivi mbna watu ni kama hawajali ivi
Mkuu,fanya uzungukie kwenye ma-miradi ndio itakuwa rahisi kupata connection, we fika mfuate mtu jieleze, mimi kueleza shida yangu kwa watu imenisaidia

Hata humu JF, usiiishie kueka thread tu hivi, search topic za zamani ukiona mtu ka comment ana dalili yupo hiyo field yenu mfano, engineer mfuate DM
 
Nashkuru mkuu
 
Habari!Nenda Kahama sehem inayo itwa Isaka pale kila siku kuna interview,wachina wanatengeneza SGR, Hakuna rushwa wala nini,ni uwezo wako tu basi
 
Back
Top Bottom