SIMON PETER MATOZI
Member
- Mar 22, 2023
- 23
- 21
Natafuta kazi ya operator backhoe loader na excavator pia loader kwa yeyote mwenye connection naomba msada
Nipo tabora lakin sija fanikisha japo watu wanaingiaCheck nafasi mgodini north Mara, sgr lot 4 kwa waturuki pia na wachina walioko Benaco
Tajaribu nifatilie huko japo sijawai fikaNenda mkuranga maeneo ya kisemvule kuna viwanda kibao huwezi kosa vacancy pale.
Uzoefu mwaka mmojaUnauzoefu wa kazi muda gani? Check SGR Wachina wapo Urambo utapata kazi.
Nipigie 0755 144 754 nikupe details za Nyazanga mine ipo Sengerema ni Canadian companyNatafuta kazi ya operator backhoe loader na excavator pia loader kwa yeyote mwenye connection naomba msada
Sawa nakupigiaNipigie 0755 144 754 nikupe details za Nyazanga mine ipo Sengerema ni Canadian company