beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Mkuu mbona sijachagua nimeweka kazi ambazo Nina uzoefu nazoUnachagua kazi kwa usawa huu
Sawa mkuuNicheki kwny namba hii 0625640373
Mkuu hakuna MTU anayechukia kujiajiri lkn mtaji ndo changamotoUkiangalia kwa undani kazi zote ulizotaja hapo juu ndizo zenye ushindani mkubwa kwa sasa hasa maeneo ya mijini, kwa kuwa kazi hizo zina wigo mpana na zinaweza kufanywa na mtu yeyote kulingana na elimu zetu za kibongo! Kama upo mjini ni vizuri ukaangalia kazi au shughuli yenye mahitaji makubwa ya binadamu, unaweza fanya biashara ya chakula ambayo ni mahitaji ya kila siku ya sisi binadamu..tatizo kila mtu anataka akae ofisini tu duh..hili ni tatizo..karibu kwenye kilimo cha mbogamboga!
Sawa mkuuNtafte
Najitahid mkuuOgopa mafisi
Hajachagua mkuu....Unachagua kazi kwa usawa huu
Asante mkuu kwa kumueleweshaHajachagua mkuu....
Nimemuelewa kwamba, hizo ni baadhi ya kazi alizo na uzoefu nazo
Kwann unasema hivo mkuikwel hali tete hadi beautifulonyinye anakosa kazi
Kazi huwa wanakosa wanaume tu mara nyingi.. kuna sehem nilishawahi kwenda kuomba kazi fulani hv nikaambiwa kazi hamna kesho yake akaenda mdada akaambiwa njoo uanze kazi keshoKwann unasema hivo mkui
Mmmh basi ni bahati ya mtu lkn sio kusema wadada hawakosi Kazi wako kibao tu mtaaniKazi huwa wanakosa wanaume tu mara nyingi.. kuna sehem nilishawahi kwenda kuomba kazi fulani hv nikaambiwa kazi hamna kesho yake akaenda mdada akaambiwa njoo uanze kazi kesho
Ukishindwa nitafute pm nikufundishe kazi ambayo hutataman kuacha kwa Dada kama wewe inakufaaMkuu hakuna MTU anayechukia kujiajiri lkn mtaji ndo changamoto