Natafuta kazi nisaidieni nduguzangu

Giligili

Member
Dec 9, 2015
7
0
Ninatafuta kazi katika stationary, duka, m-pesa / tigo pesa, duka LA nguo, cosmetic na nk, nimesomea secretarial and computer, nina level two, nahitaji msaada wenu wakunisaidia kupata kazi sehemu hizo, asanteni.

Jinsia (ke)
Naishi dar (mburahati-madoto)
Miaka 24
 
Kuwa updated na ajira. Com huwa wanatangaza kama unasubil kuajiriwa ila ckhz entepreneur iko njenje......
 
Nani alikwambia ukijiunga Jf itakuwa rahisi kupata michongo ya ajira na post zako 7 hizo???
 
Nani alikwambia ukijiunga Jf itakuwa rahisi kupata michongo ya ajira na post zako 7 hizo???

Sio kila mwenye post chache ni mgeni humu...
Kumbuka jf watu hawatakiw kujuana ili wawe huru..
Vipi kama mimi cute b nikatumia hii id. Yangu kuomba kazi?? Nikipata kazi si nitajulikana na aliyenipa? Je nitakuwa na uhuru wa kupost huku???
Kama una msaada msaidie post count hzi mati
 
Last edited by a moderator:
huu ulofa sasa mtu kaandika apo juu afu na ww unauliza ????? Kapi la viazi we...

Wew nawe hebu kuwa mstaarabu.
Mwanzo mleta tangazo hakuandika hayo ila mdau akamuuliza ndipo mtoa mada aka edit akaongezea.
Usiwe unakimbilia kutoa lugha chafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom