Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

strong woman

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
131
Reaction score
37
Habari JamiiForums!

Mimi nimehitimu shahada ya kwanza katika sanaa ya maendeleo BACHELOR OF ARTS IN DEVELOPMENT STUDIES-BADS mwaka jana UDOM, naishi Wilaya ya Nyamagana.

Natafuta kazi ikiwezekana hata ya kujitolea tu. Yeyote anayeweza kunisaidia tuwasiliane 0753160075 au whatsApp no hiyohiyo nitapatikana.

Asante!
 
Orodhesha vitu vyote unavyoweza kufanya ndani na nje ya taaluma yako

Mfano: 1:Kufundisha History na Kiswahili A Level

2:..............

3:...........

Karibu.
 
mkuu kaka yako napita naweza kufanya haya1 kufundisha masomo ya arts O and A level
computer microsoft word, excell and powerpoint
any research work
gender related issues
costomer caring mkuu na vingine vingi kama kuna namna nisaidie tafadhali
mkuu na vingine vingi
 
mkuu kaka yako napita napendelea nyamagana na ilemela maana naishi na familia hapa nyamagana town.
 
Nenda hapo NIMR Mwanza center Isamilo huwa kuna miradi kibao ya muda nenda kumuone Mr.Urasa au Mr.Changalucha atakusaidia tu jieleze vizuri.
 
Pia jaribu kupitia Restless, wana mradi nadhani wa uhamasishaji kujiandikisha wapiga kura, kuna wakati niliona tangazo skumbuki ni wapi, walikuwa wanatafuta watu. Ingia ofisini kwao mengine utajua hapohapo.
 
Habarini wanaJF, nahisi nitapata msaada mkubwa maana waajiri wapo wengi hapa.

Sasa wakubwa nimesoma Bachelor of Arts in Development Studies na cheti ninacho GPA ndogo sana ya 3.3 nisaidieni Tafadhali naombeni msaada kaka zangu na dada zangu.

Nina ujuzi wa computer na fani yangu naiweza vizuri hakika sibabaishi.

Asanteni.
 
Habarini wanajf nahisi nitapata msaada msaada mkubwa maana waajiri wapo wengi hapa. Sasa wakubwa nimesoma bachelor of arts in development studies na cheti ninacho GPA ndogo sana ya 3.3 nisaidieni Tafadhali naombeni msaada kaka zangu na dada zangu. Nina ujuzi wa computer na fani yangu naiweza vizuri hakika sibabaishi. Asanteni.

Mtumainie Mwenyezi Mungu Na Ipo Siku Milango Ya Baraka Itafunguka Ni Suala La Muda Tu Kijana / Binti Na Hakuna Ambaye Hatofanikiwa.
 
Mtumainie Mwenyezi Mungu Na Ipo Siku Milango Ya Baraka Itafunguka Ni Suala La Muda Tu Kijana / Binti Na Hakuna Ambaye Hatofanikiwa.

Hata wenye connection na shule naweza jufundisha masomo tote ya arts o level na A level
 
Ushauri wangu kwako:

Fanya Post Graduate Diploma in Education (PGDE), itapanua uwanja wako wa ajira hasa kwa fani ya ualimu. Wakati huo

huo, kwakuwa GPA yako ni ndogo, siku za baadaye itakusadia kufanya shahada ya Uzamili (Masters) iwapo utahitaji

kufanya hivyo....
 
Hata wenye connection na shule naweza jufundisha masomo tote ya arts o level na A level

Nyie ndo mlikuwa mnaambiwa someeni ualimu mnajishebedua hamuwezi kushika chaki sasa hivi mnautamani ualimu.
 
wee jamaa tupe gpa yako,alafu masters ukiwa na 2.7 unafanya,alafu hukuv mtaani gpa sio dili,dili na vipi unafkiri,gpa sio issue mtaani,issue ni how creative u r to translate ur knowledge into practice
Ushauri wangu kwako:

Fanya Post Graduate Diploma in Education (PGDE), itapanua uwanja wako wa ajira hasa kwa fani ya ualimu. Wakati huo

huo, kwakuwa GPA yako ni ndogo, siku za baadaye itakusadia kufanya shahada ya Uzamili (Masters) iwapo utahitaji

kufanya hivyo....
 
Ushauri wangu kwako:

Fanya Post Graduate Diploma in Education (PGDE), itapanua uwanja wako wa ajira hasa kwa fani ya ualimu. Wakati huo

huo, kwakuwa GPA yako ni ndogo, siku za baadaye itakusadia kufanya shahada ya Uzamili (Masters) iwapo utahitaji

kufanya hivyo....

Asante mkuu ubarikiwe
 
Back
Top Bottom