Natafuta kazi nina diploma ya Professional Computing and Information Technology

Fast Moving

New Member
Nov 8, 2011
3
0
Jamani natafuta kazi nina Diploma ya Professional Computing and Information Technology
-Nina uwezo wa kutengeneza program za komputa (programming) kwa kutumia visual Basic na C++.Pia nina uwezo wa kutengeneza network (SOHO_Small Office and Home Networks).Pia nina uwezo wa kutengeneza Database (Database Management Systems)
So kama kuna office,bank or yoyote anahitaji mtu wa aina hiyo nitaarifuni
Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom