Natafuta kazi nina diploma ya library and records

Merina2

Member
Joined
Feb 14, 2019
Posts
5
Reaction score
3
Habari. Natafuta kazi nina diploma ya library and records nimemaliza SLADS- Bagamoyo nina uzoefu wa mwaka 1, naomba unisaidie kama kunasehemu unapajua au utatasikia.
 
Tatizo nini mbona nyie mnatakiwa sana kuanzia mwaka jana udsm wameajiri librarian wengi sana,vyuo vingi vimeajiri,bado utumishi kila ukichao zinatangazwa.
 
Bahat mbaya zilimpita mkuu

silent_ocean
Dah hapo tatizo ila hii fani deal sana kwa sasa Tz kushinda hata Ualimu wa Science ajaribu hata kwenye mashule private ajaribu wanahitajika sana na Government pia awe tu updated atapata japo ajira ngumu ila mwanga upo.
 
Sawa
 
Peleka CV katika vyuo vikuu, si vya Tanzania tu hata vya nchi jirani.
 
Habari. Natafuta kazi nina diploma ya library and records nimemaliza SLADS- Bagamoyo nina uzoefu wa mwaka 1, naomba unisaidie kama kunasehemu unapajua au utatasikia.
Kuna nafasi nimeiona kule utumishi lakini mwisho wa kutuma maombi ilikuwa jana na mwajiri alikuwa ni Msd,Ila kuwa na subira serikalini kwa fani yako fursa unayo kubwa sana
 
Back
Top Bottom