natafuta kazi nina diploma ya banking and finance au nafasi ya kujitolea tu nipo tayari.

hanzagira

Member
Jun 6, 2018
32
125
habari wanajamvi amani ya bwana na iwe nanyi, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, ninaishi kimara dsm, kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta ajira kwenye taasisi yoyote au nafasi ya kujitolea tu nipo tyarii, na kwa maswala ya banking nina uzoefu wa mwaka mmoja na nusu.
nawasilisha ombi ahsanteni: mawasiliano 0692340664

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom