Natafuta kazi nina degree ya ualimu

Natafuta kazi nina degree ya ualimu

Sisyphus

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,579
Reaction score
8,055
Habari zenu wapendwa, nina umri wa miaka 22 mhitimu chuo kikuu kishiriki cha elimu ( Dar es salaam university college of education), bachelors of arts with education specialized in linguistics and history.

Currently i hold 4.1 G.P.A , natafuta kazi , pia niko tayari kujitolea kwenye kazi zinazohusu jamii nina ujuzi wa kutumia microsoft office pia i have some command in mandarin chinese ( level 2).
MREJESHO: Habari wakuu...nashukuru Mungu nilipata Kazi mwezi wa kwanza mwaka huu ...mwezi wa saba sasa kazini ...Nawashukuru sana kwa ushauri wenu...na wengine mlinipa nafasi ya kutuma màombi .Mungu awabariki sana...
 
ANZISHA SHULE YA WATOTO UWAFUNDISHE KIINGEREZA HUKO. MAANA AJIRA ZA WALIMU TENA WA ARTS BADO SANA NADHAN GOVT ILISHASEMA.
 
Hahahahaha ndio maana nimekuja huku na sio UTUMISHI....by the way thank you for your advice
 
Habari zenu wapendwa, nina umri wa miaka 22 mhitimu chuo kikuu kishiriki cha elimu ( Dar es salaam university college of education), bachelors of arts with education specialized in linguistics and history.

Currently i hold 4.1 G.P.A , natafuta kazi , pia niko tayari kujitolea kwenye kazi zinazohusu jamii nina ujuzi wa kutumia microsoft office pia i have some command in mandarin chinese ( level 2).
Kuna tangazo la ajira kule mkuu. Changamkia
Tangazo hilihttps://www.jamiiforums.com/threads/walimu-wanahitajika.1310539/
 
angalia upande wa ASIA pale kuna nchi nzuri tu zinatafuta waalim wa kufundisha kiingereza please give a try,maisha popote pale
 
Hiyo GPA Ni yako kweli?
kama ndio, kwanini usiitumie kujiajiri?

D.A "Mwanaume mashine"
 
angalia upande wa ASIA pale kuna nchi nzuri tu zinatafuta waalim wa kufundisha kiingereza please give a try,maisha popote pale
Kuna professor mmoja wa kichina alinishauri ila mpaka nikifikisha level 3 .... I appreciate your piece of advice
 
Habari zenu wapendwa, nina umri wa miaka 22 mhitimu chuo kikuu kishiriki cha elimu ( Dar es salaam university college of education), bachelors of arts with education specialized in linguistics and history.

Currently i hold 4.1 G.P.A , natafuta kazi , pia niko tayari kujitolea kwenye kazi zinazohusu jamii nina ujuzi wa kutumia microsoft office pia i have some command in mandarin chinese ( level 2).
Currently you are holding 4.1 GPA..are you still in progress??
Or you are a degree holder with 4.1 GPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATIMAE MUNGU MKUBWA NIMEPATA KWA MALIPO MAZURI [HASHTAG]#ALMIGHTSIRGOD[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom