Natafuta kazi, nina bachelor ya mass communication.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Ndugu zangu wanajamvi, naombeni msaaada nipate kazi, nina bachelor degree ya mass communication. Check miout 0782517588.
 
Post sent @ 00:47! .una bachelor ya mass communication halafu una-communicate na mass when 90% ya mass imelala. you should get a sleep, kazi utapata tu.
 
Kuwa rafiki na magazeti tu ndugu!! hakuna namna nyingine.
 
Kama umemeliza Tumani nenda magazeti ya Utaku bt kama umemeliza UDSM na SAUT sema usaidiwe zaidi
 
Kijana kama vp tembelea magazetini ndyo kunakufaa zaidi.ukikosa bac mfuate waziri mkuu wa wiingereza atakupa msaada wa kupata kazi bt kma utakubali mashariti yake ya kuwa.................................................
 
Kama umemeliza Tumani nenda magazeti ya Utaku bt kama umemeliza UDSM na SAUT sema usaidiwe zaidi

Nawachukia watu wenye mawazo ya Kipumbavu kama wewe!! Wewe ni Mjinga, Kama umesoma kisomo chako hakikusaidii kitu, Mtu anapimwa kwa uwezo alionao, Period.
 
Back
Top Bottom