kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 119
- 226
Wakuu habari za muda huu. nimekuwa nikitafuta kazi kwa udi na uvumba, jasho na da..., ila sijafanikiwa kupata hata hivyo.
nina bachelor ya Business Information Technology, nikiwa nimejikita upande wa networking pamoja na programming (PHP/LARAVEL).
kwa yeyote anayeweza kunisaidia katika hili naomba msaada wake. nipo tayari kufanya kazi yoyote hasa inayohusiana na IT, na hata ambayo haihusiani na IT, katika mazingira yoyote.
wale wa bandarini, naombeni kazi.
nipo Dar es Salaam, Ubungo.
phone: (whatsapp/normal call) 0620224372
Mungu awe nanyi.