Unavyo subilia endelea kupiga jembeHellow wanajamiiforum mm NATAFUTA kazi. Nimesomea uhasibu ngazi ya degree nipo Dar es salaam. Hata kama ni internship au kujitolea. Katika kampuni yoyote ile. Asante NATANGULIZA SHUKRANI. Kwa mawasiliano zaidi 0759554943.
ASANTE SANA.
AsanteeeKila la kheri
Cjakuelewa bosstoa na cv nje ya uhasibu, huenda ikachangia kupata kazi
Hawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,Hellow wanajamiiforum mm NATAFUTA kazi. Nimesomea uhasibu ngazi ya degree nipo Dar es salaam. Hata kama ni internship au kujitolea. Katika kampuni yoyote ile. Asante NATANGULIZA SHUKRANI. Kwa mawasiliano zaidi 0759554943.
ASANTE SANA.
Yaan kwa elimu yako na reply zako ni inversely proportional! Umeambiwa just give out your profile (CV) out of your field (accountant) unasema huelewi! Kweli tutakua na Tanzania ya viwonder kama wasomi wenyewe ndio kama hawa.Cjakuelewa boss
hutaweza kuzuia watu wasipate wanachotaka ndugu kila MTU akijaribu kuomba kazi we unakua MTU wa kumkatisha tamaa ......una wivu sanaHawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan
Sent using Jamii Forums mobile app
ENI kabla hujamjibu embu jaribu kupitia comments zake kwenye profile yake hapo ndipo utajua huyu ni MTU wa aina gani....don't waste your timeCjakuelewa boss
Kiukweli laiti ningekuwa namamlaka kutoa watu humu wewe wakwanza mbona comments zako zote unaponda wenzio aiseeee Mimi naomba post zangu zipite kama huzioni ataniandike uharisho pita unakeraHawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaaaa ndivyo alivyo sijui yupoje inaonyesha anaroho mbaya sanahutaweza kuzuia watu wasipate wanachotaka ndugu kila MTU akijaribu kuomba kazi we unakua MTU wa kumkatisha tamaa ......una wivu sana
Aiseee... endelea.Hawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unatumia maneno ya kihuni kama :●Cjakuelewa boss
Dah mmmhBado unatumia maneno ya kihuni kama :●
cjakuelewa badala ya sijakuelewa kwa mbwembwe eti unatafuta ajira? ni mpuuzi gani anaweza akakuajiri wewe.
[HASHTAG]#poorUndergraduates[/HASHTAG]...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize kwanin nachallenge jukwaa la kazi/ajira na sio kwingine..! Think twice your matured enoughKiukweli laiti ningekuwa namamlaka kutoa watu humu wewe wakwanza mbona comments zako zote unaponda wenzio aiseeee Mimi naomba post zangu zipite kama huzioni ataniandike uharisho pita unakera
Sent using Jamii Forums mobile app
AyaJiulize kwanin nachallenge jukwaa la kazi/ajira na sio kwingine..! Think twice your matured enough
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi sana kumbe na wew..mtu anaweza kosa kazi kisa comments ya mtu humu..??hutaweza kuzuia watu wasipate wanachotaka ndugu kila MTU akijaribu kuomba kazi we unakua MTU wa kumkatisha tamaa ......una wivu sana