Natafuta kazi nimesomea uhasibu ngazi ya degree

Umesoma uajiriwe tena wwe umesomea namna ya kupata pesa hata kwa kipato kidogo , tumia ujuzi wako kujikwamua

sending using jamiiforum makinikia
 
Yaan kwa elimu yako na reply zako ni inversely proportional! Umeambiwa just give out your profile (CV) out of your field (accountant) unasema huelewi! Kweli tutakua na Tanzania ya viwonder kama wasomi wenyewe ndio kama hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alianzia ngazi ya cheti akaamua kuunga hadi degree mvumilieni

sending using jamiiforum makinikia
 
Kiukweli laiti ningekuwa namamlaka kutoa watu humu wewe wakwanza mbona comments zako zote unaponda wenzio aiseeee Mimi naomba post zangu zipite kama huzioni ataniandike uharisho pita unakera

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipende kutetea kila kitu hata usichokifahamu, unitoea kwa mamlaka gan hata kama ungekua nayo. Au umekua mtetezi wa waomba kazi humu jf? Eti post zako nisi comment wew ni special sana humu au? Usingeanza kuni quote kama nakukera..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni sana kwa mlionisaidia Mungu awabariki sana. Thank you........!!!
 
Usipende kutetea kila kitu hata usichokifahamu, unitoea kwa mamlaka gan hata kama ungekua nayo. Au umekua mtetezi wa waomba kazi humu jf? Eti post zako nisi comment wew ni special sana humu au? Usingeanza kuni quote kama nakukera..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fa.la sana wewe...mshauri kijana pale akoseapo ili afanikiwe..na ndio hulka ya wana Jf.na si kuleta porojo zako kama bwa.bwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan


Sent using Jamii Forums mobile app
nataka nimuulize "experience" yake hapa, maana tangazo lake halijitoshelezi hata..
 
Ukipata nistue na mimi. Nna degree ya uhasibu na fedha pia

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Niwashauri tu kwa sasa kuna kozi ya kufundisha english kwa nchi zisizojuw kabisa english inaitwa tefl unaweza google ukasoma online ukapata cheti kazi ziko nje nje,na kusoma unagoogke zile za free tefl course yani garama yako ni bundle tu la simu,kwenyehili nina ushubuda kabisaa na wanalipa vzur sana kuna mtuyuko taiwana anamlipa usd 2200 kww mwezi na kapga online tu,na huwez shindwa kufundisha vitu vidogo vidogo maana wako empty kabisa kw english.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo tuuze mayai huku asee na maziwa bila kusahau kulima maboga!
Nina ka degree ka economics toka pale kwa m7 but mwaka wa 3 huu sipati job ya kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa alianzia ngazi ya cheti akaamua kuunga hadi degree mvumilieni

sending using jamiiforum makinikia
Acha zarau kijana tena hao walio anza na cheti mpaka degree ni wazoefu wazuri kuliko wewe unayejiona una akili sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom