Natafuta kazi nimesomea uhasibu ngazi ya degree

ENI

Member
Jul 16, 2017
14
3
Hellow wanajamiiforum mimi natafuta kazi nimesomea uhasibu ngazi ya degree nipo Dar es salaam. Hata kama ni internship au kujitolea katika kampuni yoyote ile asante natanguliza shukrani kwa mawasiliano zaidi 0759554943.

Asante sana
 
Hellow wanajamiiforum mm NATAFUTA kazi. Nimesomea uhasibu ngazi ya degree nipo Dar es salaam. Hata kama ni internship au kujitolea. Katika kampuni yoyote ile. Asante NATANGULIZA SHUKRANI. Kwa mawasiliano zaidi 0759554943.

ASANTE SANA.
Hawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hutaweza kuzuia watu wasipate wanachotaka ndugu kila MTU akijaribu kuomba kazi we unakua MTU wa kumkatisha tamaa ......una wivu sana
 
Hawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli laiti ningekuwa namamlaka kutoa watu humu wewe wakwanza mbona comments zako zote unaponda wenzio aiseeee Mimi naomba post zangu zipite kama huzioni ataniandike uharisho pita unakera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wasomi wetu wa ngazi ya degree! Kujidadafua/kujieleza zero kabisa ( kuna jamaa mmoja yuko Arusha alikua anaomba kazi kajieleza from the beginning to the end very grammatical na ameishia form two tu, miaka 19 mpaka watu wanashangaa kama ameishia form two na ana huo umri,
Sasa wew na usomi wako degree yako hiyo unakuja kutuandikia heading ili uanze kuulizwa maswali ama?
Tatizo la ajira litaendelea kuwepo na degree kichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee... endelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine tumemaliza chuo hakuna ajira tunajaribu ku-bypass hii barrier kwa kufanya shughuli zozote.At this moment unapotafta ajira tafuta cha kufanya and its better ukazunguka mwenyewe kwenye makampuni maana unaweza kuta kazi zipo lakini hazitangazwi. U have to sort out by yourself.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom