Msaidie mkuu hiyo koneksheni ya mtaaniNi kweli una shida lakini kuwa makini,futa no.yako hapo,narudia tena kuwa makini,binafsi ukiniuliza ni wapi unaweza kupata msaada wa uhakika mtaani au hapa JF nitakwambia mtaani,humu sio sehemu salama tena kwa binti kama wewe
Nashukuru Sana na ahsante kwa ushauri piaPole kwa magumu unayopitia,mkabidhi Mungu shida yako,hajawahi kushindwa atakuonyesha njia ya kutokea...
Ameen..... nashukuru sanaPole Mungu Wa Ibrahim atafungua milango soon
Kiazi kitamu.Nawasilimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Mimi ni binti umri wa miaka 25 kwasasa naishi dar es salaam ni mhitimu wa shahada ya maendeleo ya jamii ( degree in social development)
Nimejitokeza kwenu kuomba kazi / ajira/ kibarua chochote halali kwenu ndugu zangu
Nina uwelewa mkubwa na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote bila kusimamiwa ndani na nje ya nchi,mji hata vijiji
Nina weza kujieleza, kuongea mbele za watu na hata kujenga hoja na kutafuta suluhu mbali mbali kwa haraka
Nina zungumza lugha ya kiswahili na kingereza vema
Mimi ni msikivu Sana ,mpole na muelewa mno ...najua Nini Cha kuongea wapi na wakati gani
Nimewahi kufanya biashara kadhaa na Nina weza Sana masuala ya usimamizi wa miradi, mauzo na masoko kwa ujumla
Kwasasa nimekwama mno ,Sina kazi naishi kwa kubahatisha mno yaani naogopa kutenda dhambi kwa sababu za ugumu wa maisha
Nimewahi kujiajiri Mara nyingi na hata kumaliza kwangu chuo ni kutokana na biashara zangu nilizokuwa nafanya hapo nyuma na kuniwezesha kusoma kuanzia secondary mpka nimehitimu chuo
Sina wazazi Wala ndugu wa kunishika mkono maisha yamebana mno kwasasa Sina mtaji hata Mia kusema nianze upya kwakweli nimekwama hata mawazo yameisha kichwani kabisa nahitaji msaada Sana ndugu zangu ..asikudanganye mtu hata uwe bingwa vipi Kuna muda unaishiwa kila kitu mpaka FIKRA zinakwama kabisa kiasi kwamba mama ntilie namuona kanizidi Sana maarifa
Nimepanga Kodi inapiga hodi kuisha, kula kwa manati Yani tabu tupu
Nawaomba Sana Sana sana kina baba, mama, na ndugu wote watanzania wenzangu Kama unahisi unaweza kuniweka mahala nitashukuru mno maana nimepigania mno elimu yangu hii nikiamini siku moja ntacheka
NB kwa atakaeguswa PM yangu ipo wazi nahofia kuweka namba moja kwa moja
Natanguliza shukran za dhati
AhsantePole mkuu
Mimi Elimu yangu kidato cha nne lakini nilifanikiwa mpaka kufungua ofisi yangu (NGO's) nashangaa una shahada tena ya maendeleo ya jamii unatafuta kuajiliwa jamani..!!Nawasilimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Mimi ni binti umri wa miaka 25 kwasasa naishi dar es salaam ni mhitimu wa shahada ya maendeleo ya jamii ( degree in social development)
Nimejitokeza kwenu kuomba kazi / ajira/ kibarua chochote halali kwenu ndugu zangu
Nina uwelewa mkubwa na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote bila kusimamiwa ndani na nje ya nchi,mji hata vijiji
Nina weza kujieleza, kuongea mbele za watu na hata kujenga hoja na kutafuta suluhu mbali mbali kwa haraka
Nina zungumza lugha ya kiswahili na kingereza vema
Mimi ni msikivu Sana ,mpole na muelewa mno ...najua Nini Cha kuongea wapi na wakati gani
Nimewahi kufanya biashara kadhaa na Nina weza Sana masuala ya usimamizi wa miradi, mauzo na masoko kwa ujumla
Kwasasa nimekwama mno ,Sina kazi naishi kwa kubahatisha mno yaani naogopa kutenda dhambi kwa sababu za ugumu wa maisha
Nimewahi kujiajiri Mara nyingi na hata kumaliza kwangu chuo ni kutokana na biashara zangu nilizokuwa nafanya hapo nyuma na kuniwezesha kusoma kuanzia secondary mpka nimehitimu chuo
Sina wazazi Wala ndugu wa kunishika mkono maisha yamebana mno kwasasa Sina mtaji hata Mia kusema nianze upya kwakweli nimekwama hata mawazo yameisha kichwani kabisa nahitaji msaada Sana ndugu zangu ..asikudanganye mtu hata uwe bingwa vipi Kuna muda unaishiwa kila kitu mpaka FIKRA zinakwama kabisa kiasi kwamba mama ntilie namuona kanizidi Sana maarifa
Nimepanga Kodi inapiga hodi kuisha, kula kwa manati Yani tabu tupu
Nawaomba Sana Sana sana kina baba, mama, na ndugu wote watanzania wenzangu Kama unahisi unaweza kuniweka mahala nitashukuru mno maana nimepigania mno elimu yangu hii nikiamini siku moja ntacheka
NB kwa atakaeguswa PM yangu ipo wazi nahofia kuweka namba moja kwa moja
Natanguliza shukran za dhati
Usiseme hayo....Kama umesoma vema nimeeleza mno nadhani utakuwa umenielewaMimi Elimu yangu kidato cha nne lakini nilifanikiwa mpaka kufungua ofisi yangu (NGO's) nashangaa una shahada tena ya maendeleo ya jamii unatafuta kuajiliwa jamani..!!
Mimi Elimu yangu kidato cha nne lakini nilifanikiwa mpaka kufungua ofisi yangu (NGO's) nashangaa una shahada tena ya maendeleo ya jamii unatafuta kuajiliwa jamani..!!
Akianza kusumbuliwa,ndipo mafanikio yanapoanzia...mtu yeyote kuanzia miaka 18 yuko sahihi katika maamuzi yake, na akisumbuliwa ana maamuzi ya kukataa ama kukubali, wapo wanaotafuta wa kuwasumbua na hawapatikani.Daaah!pole sana Dada angu...ila usiweke namba tena hapa...watakusumbua wanaume wasio wazuri
Ni kweli una shida lakini kuwa makini,futa no.yako hapo,narudia tena kuwa makini,binafsi ukiniuliza ni wapi unaweza kupata msaada wa uhakika mtaani au hapa JF nitakwambia mtaani,humu sio sehemu salama tena kwa binti kama wewe
Nashukuru Sana ndugu yangu naomba niku pmkuna outsourcing company na bpo km ison, erolink, na nyinginezo. hawa wanaajiri customer cares wa mitandao km airtel, voda, tigo nk. ison wapo faykat towers makumbusho imepakana na jengo la airtel. masaa 4 ya kazi end of month 200k salary kuna overtime kibao. kwa kuanzia unaweza fanya hivo wakti ukiendelea kunetwork na kupata financial capital. hata mi nmepiga community, bila experience kazi zake kupata tabu. Kwa wasifu km kweli una sifa hizo, hapa nilipo jishikiza licha ya maslahi kidogo kuna nafasi ya kukuza career yako sababu ya patnering NGOs angalau ni nyingi na kuna capacity building nyingi. sina uwezo wa kukupigia pande lkn nitakupa email ya mkurugenzi ujilipue mwenyewe
Watu wanapenda Sana kuona wenzao wazembe...muache tu dadaSasa unamsimanga auu?? Mpe nafasi basi kwa hiyo NGO yako ajikimu kupitia wewe..
Sometimes tunaanisha matatizo ili kutia mkazo ndugu...angalau Kuna mwingine anashawishika kukusaidia akiona uzito wa hitaji lakoUsipende kuyatumia matatizo yako km sehemu ya kutia huruma mfano sina wazazi, kodi na kula maana huenda ungekua navyo hivyo ungekua unaandika michango yako katika hali yako halisi kifikra....
Wasifu wako nimeupenda km umeweza kuvuka kote huko mpk ulipofikia naamn kunakitu unaweza kufanya.
Kila la kheri