Nakisikia sana hicho kitabu,ngoja nikitafute.
Tupia au ni pm email yako nkutumie soft copy faster
Nakisikia sana hicho kitabu,ngoja nikitafute.
Duu pole sana mkuu,endelea kutuma maombi bila kukata tamaa kozi yako nzuri sana.
Hapana mkuu usiseme mikosi endelea kupigana kwa 2013 sasa hv sio muda wa kugiveup kuna program ya ERB inaitwa SEAP nafikiri ungeomba hiyo kwanza huwa wanatoa hela ya nauli kidogo ila ukipelekwa office serious wanakuongezea hiyo itakulahisishia kutafuta kazi bila stress sana....maana kazi ukitafuta na stress kuipata inakuwa shughuli mkuu.......kwani si umemaliza bachelor na ni chuo gani?
Mkuu pole sana.kuna wakati huwa nawaambia vijana kuwa shule na mtaani ni dunia mbili tofauti japo zinafanana,kuathiriana na kukamilishana.
Ushauri wangu kwa sasa ukiwa bado unatafta uajiriwe hebu fanya yafuatayo
1.Kusanya wenzako watano wasio na kazi waliosoma kozi kama yako au IT.
2.Tafteni sh.30,000 kila mmoja(najua huna pesa ila unaweza kuomba kwa ndugu rafiki au jirani au kuangalia any redundant asset ulio nayo ambayo huna matumizi nayo na iuze upate mtaji).jumla mtakuwa na sh.150,000
4.Tafteni fremu uswahilini isiyozidi 50,000 kwa mwezi
3.Fungueni ofisi ya kutengeneza vifaa vya electronics kama simu,computer nk. Toeni huduma za kuinstall software za simu na computer, burn cd, uzeni vifurushi vya tigo,voda nk
4.Kila mmoja aombe kiti kimoja nyumbani na alete ofisini
5.In case kama mmoja wenu alibahatika kununua friji akiwa chuo au analo nyumbani,basi lileteni ofisini na uzeni maji ya kufunga ya viroba. Kila kiroba ni sh 100. Pesa mtakayoipata kwa kuuza maji itawasaidia kupata nauli.
Baada ya miezi mitatu njoo hapa itupe mrejesho.
Kila la kheri

tuma maombi hapa ofisini faster human resource ni nbagira@pyramidpharma.com
mkuu wewe noma sana.big up
Umepata kazi mkuu?

nutumie na mimi mkuu: benesilla2006@gmail.comTupia au ni pm email yako nkutumie soft copy faster
Nakupongeza sana bana.
Hata mie ningependa nikufahamu nawe unifahamu.
Unayo akili nayoipenda.
Yani kuna vijana huwa nawaambiaga kua tuuze tangawizi na uji wa urezi,mihogo na viazi vya kuchemsha wananicheka.
Barikiwa sana na lazima Mungu atakufanya kuwa kichwa na mafanikio yatakufuata ulipo popote na endelea na roho hiyohiyo
Azam media wamatoa tangazo la kazi mkuu