. Ushauri mzuri but nimejikuta nacheka tu HahahahahaMkuu pole sana.kuna wakati huwa nawaambia vijana kuwa shule na mtaani ni dunia mbili tofauti japo zinafanana,kuathiriana na kukamilishana.
Ushauri wangu kwa sasa ukiwa bado unatafta uajiriwe hebu fanya yafuatayo
1.Kusanya wenzako watano wasio na kazi waliosoma kozi kama yako au IT.
2.Tafteni sh.30,000 kila mmoja(najua huna pesa ila unaweza kuomba kwa ndugu rafiki au jirani au kuangalia any redundant asset ulio nayo ambayo huna matumizi nayo na iuze upate mtaji).jumla mtakuwa na sh.150,000
4.Tafteni fremu uswahilini isiyozidi 50,000 kwa mwezi
3.Fungueni ofisi ya kutengeneza vifaa vya electronics kama simu,computer nk. Toeni huduma za kuinstall software za simu na computer, burn cd, uzeni vifurushi vya tigo,voda nk
4.Kila mmoja aombe kiti kimoja nyumbani na alete ofisini
5.In case kama mmoja wenu alibahatika kununua friji akiwa chuo au analo nyumbani,basi lileteni ofisini na uzeni maji ya kufunga ya viroba. Kila kiroba ni sh 100. Pesa mtakayoipata kwa kuuza maji itawasaidia kupata nauli.
Baada ya miezi mitatu njoo hapa itupe mrejesho.
Kila la kheri
Mkuu pole sana.kuna wakati huwa nawaambia vijana kuwa shule na mtaani ni dunia mbili tofauti japo zinafanana,kuathiriana na kukamilishana.

Wakuu mtaani hali mbaya sana,nimeomba sana kazi lakini sipati.kama kuna opportunity ya kazi wadau niunganisheni nijikwamue na huu umasikini.Yeyote mwenye nia ya kunisaidia ani pm nitampa details zangu.
. Ushauri mzuri but nimejikuta nacheka tu Hahahahaha
Good advice:
kuna kazi nyingi sana mtaani
1.akuna mafundi wengi wa LCD/LED TVs hii pia ni fulsa
2.Smart phone repair/software/apps installation
3.Unaweza pata sub contarcts toka makampuni ya simu for BTS,Genset maintenance
Mkuu ni kweli mtaani kuna kazi nyingi za kufanya ikiwa tu graduates wetu wataacha ile superiority complex ya kujiona wao wamesoma hawawezi kufanya kazi za aina fulani. Watu wanapiga hela sana na hizi kazi ambazo graduates wanaziona kama sio za hadhi yao tena wanaozifanya wala si wasomi na wanaendesha maisha yao vizuri kuliko hata walioajiriwa.
if possible huyu kijana na wenzake waweke professional qualification zao hapo hapo watakapokuwa wanatoa huduma, nina hakika wateja wakijua wao ni wasomi na sio mafundi mchundo kama wengine nna hakika watapata connection nyingi tu.mfano waandikae;
MR.XXX Bsc.computer science(udsm)
MR.YYYY Bsc.electronics(st.joseph college of eng)
Naamini baada ya miez sita they will have another story to tell.