moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
Nenda jukwaa la Elimu kule.. Utapata Majibu fastajamani samahani naomba kuuliza et business administration na bachelor of art in economics ip nzuri msaada jamani
Nenda jukwaa la Elimu kule.. Utapata Majibu fastajamani samahani naomba kuuliza et business administration na bachelor of art in economics ip nzuri msaada jamani
Hizii zote hamna kituu, uliza wanaozisoma hakuna future yeyote, ningekuwa tcu ningefutilia mbali koz uchwara kama hiziijamani samahani naomba kuuliza et business administration na bachelor of art in economics ip nzuri msaada jamani
Una elimu ya kidato cha nne then umesomea Business administration.so elimu yako halisi ni ipi?