Je ulishawahi kufanya training kwa hoteli yoyoteNatafuta kazi nimemaliza hotel management ngazi ya cheti
Website ya Chuo Kikuu Mzumbe kuna tangazo la kazi kama unayoomba mkuu hebu chungulia ujaribu bahati yakoNatafuta kazi nimemaliza hotel management ngazi ya cheti
www.mzumbe.ac.tzNaomba unitumie website ya chuo kikuu cha mzumbe mkuu
Huo mchanganuo si uuweke hapa kwa faida ya wote?Biashara ya mgahawa mdogo mtaji wake hauzidi 200000 fungua mgahawa wako elimu uliyopata manage chakwako. Nicheki inbox nikupe mchanganuo wa biashara (business plan)
www.mzumbe.ac.tz
Asante mkuu
Mkuu huu si ustaarabu....fikiria mdogo wako angekuwa anatafuta kazi alafu kunamtu anamuuliza swali kama hili....narudia tena huu si ustaarabu mkuu...badilikaUna mkundu mkubwa?
Njoo uwe mfanyakazi wa ndani..Natafuta kazi nimemaliza hotel management ngazi ya cheti
Jf imefikia huku?Una mkundu mkubwa?
Gold Zanzibar has the following open positions.Natafuta kazi nimemaliza hotel management ngazi ya cheti