Natafuta Kazi Niko Jijini Mwanza

Natafuta Kazi Niko Jijini Mwanza

GEITA FARM

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
336
Reaction score
173
Mimi Ni Kijana Nilihitimu Mafunzo Ya Mifugo Ngazi Ya Cheti Mwaka 2013 ( Certificate In Animal Health And Production ) ... Ninatafuta Kazi Yoyote Ile Itakayoweza Kunipatia Fedha Angalau Ya Kukidhi Mahitaji Yangu ... Kwa Sasa Naishi Jijini Mwanza Namba Zangu Za Simu Ni 0766922108 au 0656721710.
 
Tokea 2013 ulikua ukijishughulika na kazi gani? nomba tuanzie hapo ndo nitarudi kukusaidia tena
 
Mimi Ni Kijana Nilihitimu Mafunzo Ya Mifugo Ngazi Ya Cheti Mwaka 2013 ( Certificate In Animal Health And Production ) ... Ninatafuta Kazi Yoyote Ile Itakayoweza Kunipatia Fedha Angalau Ya Kukidhi Mahitaji Yangu ... Kwa Sasa Naishi Jijini Mwanza Namba Zangu Za Simu Ni 0766922108 au 0656721710.

"Mtaalamu wa kuuza Duka la Madawa ya mifugo anahitajika haraka sana. Awe na sifa zifuatazo: Awe na Certificate ya Animal Health and production kutoka Chuo kinachotambulika PIGA SASA HIVI SIMU NA. 0764 601903"
Mwajili huyo anakutafuta, mpigie haraka sana. nae ameweka tangazo humu humu ndani
 
Mbona husomeki mkuu, mara unatafuta kazi, mara nyumba inauzwa. Udalali nao si ni kazi pia au unachagua kazi mkuu!
 
Back
Top Bottom