Mtaalam wa mifugo natafuta kazi

udes

Senior Member
Jan 21, 2023
103
123
Samahani wakuu nina taaluma ya mifugo (animal health and production) ngazi ya diploma ninatafuta kazi yoyote inayoendana na taaluma yanguu nina uzoefu mkubwaa kwenye field hii Kwan naweza fanyaa kazi zote za mifugo kwa wenye connection naomba msaada wenu tafadhali.
 
Samahani wakuu nina taaluma ya mifugo (animal health and production ) ngazi ya diploma ninatafuta kazi yoyote inayo endana na taaluma yanguu Nina uzoefu mkubwaa kwenye field hii Kwan naweza fanyaa kazi zote za mifugo kwa wenye connection naomba msaada wenu tafadhali.
Zile nafas zilizotoka utumishi hukuomba ndg? Km uliomba kuwa na subira naona wanatoa Kwa awamu awamu,huwez jua awamu ijayo yaweza kuwa yako. Km ukikosa JitAhid ujiajir mwenyewe kwa shughl yyt Ile kuliko kutegemea kuajiliwa
 
Hujasema unapatikana wapi
Umri wako
Jinsia gani
Watu huwa tunaangalia vitu hivyo kwenye kuajiri watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom