Natafuta kazi ni binti mwaminifu

Natafuta kazi ni binti mwaminifu

daringvoice

Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
34
Reaction score
17
Kwa wale wanao hitaji mtu wa kumsaidia katika shuguli zao kwa mkoa wa Mwanza nipo ni dm na uniambie unataka kusaidiwa kazi gani?
Tuelewane
 
Huko mwanza ni jiji kuna vibarua vingi tu vya kufanya..
 
Sidhani Kama kazi utafutwa kwa dm
Badala kujieleza kazi unazoweza kuzifanya ili wadau wazione wewe unasema waje
Dom,sidhaani Kama lengo lako ni kusaka kazi bila Shaka una lako Jambo
Pamoja na mdau kuja kukueleza hapo ila unesisitiza unataka dm
Ok kila lakheri na dm yako
Utawapata Sana maana wewe Ni ke
Ila jua SI watoa ajira watakuja kukuomba chura
Jiandae kwa Hilo
 
Naaamini mtu mwenye Nia ya kutafuta mtu wa kumsaidia katika shuguli yake yoyote ile atakuja dm sipo kuchagua kazi kwa Sasa kila mmoja na njia zake za kutafuta kitu hivyo ata nikiweka sifa zangu mtu akihitaji chura atahitaji tu.ni mtazamo wako pia mkuuu shukran kwa ushauri wako
 
I'll the best

Na nilivyokuwa mzembe kumfuata mtu PM nikaanze kuandika sijui "SUBJECT" sijui tena ndo nije kuandika "BODY" dah! katika vitu walivyobugi wataalam wa JF ni hivyo vipengele vinatia uvivi kweli

Mdau nae anataka tumfuate PM (DM) sijui ana nini huko,,,,,??? yaani wewe ndo unataka kazi harafu mimi ndo nikufute harafu wewe utakuwa mdogo wake Mungu maana hata malaika hawawezi kufanya kila kitu!!! kuna mtoa roho, mlinzi, mtunza kumbukumbu n.k

Wewe unamaanisha kazi yoyote unaweza kufanya?????
 
Weka picha basi kazi nyingine ni za reception
Kwa wale wanao hitaji mtu wa kumsaidia katika shuguli zao kwa mkoa wa Mwanza nipo ni dm na uniambie unataka kusaidiwa kazi gani?
Tuelewane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom