Habarini wapendwa poleni na majukumu.
MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27.
Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k
Ujuzi nilionao :
*kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai)
*Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer
TUSAIDIANE HATA KIMAWAZO POPOTE NIPO TAYARI KUFIKA KARIBUNI.