Natafuta kazi nchi za afrika mashariki (EAC) na za ukanda wa kusini (SADC) kama afisa vipimo vya viwanda ( Metrologist)

blackb

Member
Mar 30, 2017
99
113
Habari ndugu zangu.
Mimi ni muhitimu wa elimu ya shahada ya kwanza katika kitivo cha sheria na vipimo vya viwanda ( Legal and industrial metrology) katika chuo cha elimu ya biashara Dar es salaam ( CBE) mwaka jana 2017.
Kulingana na uhaba wa wataalam katika nchi nyingi za afrika mashariki na za kusini mwa afrika, naomba kama kuna mtu mwenye mawasikiano na mojawapo ya nchi hizi anisaidie niweze kuawasiliana nao. Kwa hapa Tanzania watu waliosoma kozi hii ni wale wakaguzi wa vipimo au maarufu "wakaguzi wa mizani"
Kwa mawasiliano zaidi na msaada pia namba zangu ni 0757234708 au 0714085403
Au e-mail
medadibikolimana@gmail.com
Naomba msaada ndugu zangu.
 
Tuma maombi Dangote Cement wametoa nafasi za kazi, na watu wa proffesional yako wanahitajika.
 
Back
Top Bottom