Mimi ni kijana natafuta kazi kwenye NGOs, Taasisi na Kampuni binafsi. Elimu yangu ni shahada ya 2 kwenye masuala ya Uchumi (Masters degree). Nina uzoefu wa kutosha, kwenye mipango, ubunifu, utekelezaji na ufuatiliaji (Monitoring, Evaluation , Strategy and Innovation).
Nina uzoefu pia wa Mipango ya Masoko, Bima na Uanzishwaji wa Miradi.
Tuwasiliane PM .Asante
Nina uzoefu pia wa Mipango ya Masoko, Bima na Uanzishwaji wa Miradi.
Tuwasiliane PM .Asante