Natafuta Kazi, mimi ni mlemavu

Natafuta Kazi, mimi ni mlemavu

Joined
Aug 23, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Mimi ni graduate mwaka huu(2014) kwa Bachelor of Commerce in Banking and financial services(UDSM), na nina ulemavu wa miguu na ninaangaika sana kutafuta kwasababu wazazi ambao wangenisaidia walishafariki na sina mtu yeyote wa kuweza kunisaidia niweze kupata kazi.

Nawaomba watanzania wenye kazi kama ya Saling, Marketing, Accounting, Finance management, Monitoring, Managing, Directing n.k ambazo unaweza kufahamu eti naweza unitafute kupitia namba 0788037644/0756977698. mshahara usiwape shida mi nitafanya kazi lakini najua mshahara utaongezeka pale ambapo utenda wangu wa kazi utakapokuwa mzuri na value ambayo nitakayoingezea Organization au kampuni yako ndo dhamana yangu ya kuongezwa mshahara.
 
Mungu ni Mwema
Uwe na subira watakuja wenye kazi Nat mapenzi kwa jambo ulilotushirikish .
 
Mungu wangu mwenye upendo atakuangazia nuru katika njia yako.

Mtumaini hatakuangusha.

Amen.
 
dah umenifanya ubarikiwe aisee mungu ajibu maombi yko
 
Mungu anajua nini hitaji la moyo wako na kukata tamaa Ni umasikini,Mungu akusaidie utapata
 
Kijana, hii ni hatua ya kwanza hongera. Sasa nakushauri fanya hivi, Tembeza CV yako kwenye baadhi ya makampuni kama bank na kwenye asasi zisozo za serikali pia. Then huwezi jua mmoja anaweza akakujibu. Mtu akikuona inaongeza hamasa fulani hivi.
 
Kijana, hii ni hatua ya kwanza hongera. Sasa nakushauri fanya hivi, Tembeza CV yako kwenye baadhi ya makampuni kama bank na kwenye asasi zisozo za serikali pia. Then huwezi jua mmoja anaweza akakujibu. Mtu akikuona inaongeza hamasa fulani hivi.

Big up umeandika point wengine wamefata mkumbo tu hapa
 
Hukuwa na haja ya kusema kuwa mlemavu. Sioni ulemavu kuwa hindrance kama umeweza kusoma na kuachieve ulivyoweza. Kusema unatafuta kazi ilikuwa inatosha kabisa.
Hongera kwa kumaliza masomo, Mungu ni muaminifu utafanikiwa tu.
 
Nakuweka mbele ya Mungu haita pita wiki mbili bila kupata kazi
 
Hukuwa na haja ya kusema kuwa mlemavu. Sioni ulemavu kuwa hindrance kama umeweza kusoma na kuachieve ulivyoweza. Kusema unatafuta kazi ilikuwa inatosha kabisa, na hata uyatima hauhusiani na kutafuta kazi.
Hongera kwa kumaliza masomo, Mungu ni muaminifu utafanikiwa tu.

yani we ni kuku kweli. kaeleza vizur kuwa ulemavu unamfanya ashindwe kupambana na soko la ajira we unasema ulemavu wake havihusian na kutafuta kazi. we unaona mishe mishe za chuo na kutafuta kazi ni sawa?? ngoja uipate huo ulemavu ndio utajua mwenzetu alikua anamaanisha nini. tena kabla haujalala tubu au delete comment yako.
 
Pole na Hongera kwa level ya elimu uliyonayo.
Ni vizuri kusema unapatikana wapi kw maana ya makazi yako! Ili kumrahisishia mtu ambaye anatafuta wafanyakazi lakini hatoi Accomodation kw Wafanyakazi wake!!
 
Hongera kwa kumaliza masomo.
Mie nakushauri tafuta kwanza sehemu ambayo unaweza ku volunteer ili upate exeprience na ufahamu kazi ndiposa unaweza kupata kazi kwa urahisi kidgogo. Changamoto kubwa ya soko.la ajira ni experience.

Pata experience sehemu yoyote na kukutana na watu wengi kutakufanya upate channels nyingi kuliko kuanza kutafuta kazi ukiwa fresh from school...
 
Back
Top Bottom