Natafuta Kazi, mimi ni mlemavu

Natafuta Kazi, mimi ni mlemavu

Bwana Mungu akuangazie baraka zake uweze kupata kazi kaka
 
Hukuwa na haja ya kusema kuwa mlemavu. Sioni ulemavu kuwa hindrance kama umeweza kusoma na kuachieve ulivyoweza. Kusema unatafuta kazi ilikuwa inatosha kabisa.
Hongera kwa kumaliza masomo, Mungu ni muaminifu utafanikiwa tu.

acha izo ndugu kusema kwake yeye kua ni mlemavu hajasema ili aonewe huruma ama vyovyote vile ulivyozania ila ameamua kuweka wazi KUA YEYE NI MLEMAVU ili ata kwa yoyote atakayeamua kumlink sehemu yoyote ya kazi ajue fika kua yeye ni MLEMAVU,ulemavu ni MOST HINDERING OBSTACLES IN ARCHIEVING ANY CARIER KAMA WEWE UMZIMA MSHUKURU SANA MUNGU ila usirudie tena kusema kua ulemavu sio kikwazo TENA MTAKE RADHI MTOA MADA,PIA PENDA KUTAFAKARI KWAKINA KABLA YA KUPOST, I can imagine mapito mazito alopitia mpaka kukamilisha elimu yake kwa mlemavu yoyote ndie atakaeweza jua nini namaanisha,MUNGU AKUTIMIZIE HITAJIO LAKO MTOA MADA!!
 
O.M.G. Kwa namna ulivyoeleza nikweli mlemavu pekee ndie ajuae ulichomaanisha MWENYEZI MUNGU ATAMSAIDIA TU KAKA YETU NA ATAPATA KAZI KWANI MUNGU HACHELEWI WALA HAWAHI Howt Lady umeongea vyema kabisa,nawe pia ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
yani we ni kuku kweli. kaeleza vizur kuwa ulemavu unamfanya ashindwe kupambana na soko la ajira we unasema ulemavu wake havihusian na kutafuta kazi. we unaona mishe mishe za chuo na kutafuta kazi ni sawa?? ngoja uipate huo ulemavu ndio utajua mwenzetu alikua anamaanisha nini. tena kabla haujalala tubu au delete comment yako.

acha izo ndugu kusema kwake yeye kua ni mlemavu hajasema ili aonewe huruma ama vyovyote vile ulivyozania ila ameamua kuweka wazi KUA YEYE NI MLEMAVU ili ata kwa yoyote atakayeamua kumlink sehemu yoyote ya kazi ajue fika kua yeye ni MLEMAVU,ulemavu ni MOST HINDERING OBSTACLES IN ARCHIEVING ANY CARIER KAMA WEWE UMZIMA MSHUKURU SANA MUNGU ila usirudie tena kusema kua ulemavu sio kikwazo TENA MTAKE RADHI MTOA MADA,PIA PENDA KUTAFAKARI KWAKINA KABLA YA KUPOST, I can imagine mapito mazito alopitia mpaka kukamilisha elimu yake kwa mlemavu yoyote ndie atakaeweza jua nini namaanisha,MUNGU AKUTIMIZIE HITAJIO LAKO MTOA MADA!!

BCC Kaunga

Ulemavu ni janga kwenye ajira..... think....!
 
Last edited by a moderator:
BCC Kaunga

Ulemavu ni janga kwenye ajira..... think....!

Naona watu hawajanielewa.
Exactly kwa kuwa ajira ni ngumu kwa walemavu ndio maana hapaswi kuhighlight ulemavu wake. Maana anaweza hata asiwe shortlisted kutokana na hiyo.

Pia, kuna baadhi ya watu wanaweza kumuona kuwa ni mtu anayetumia hali yake kupata excuse na hivyo wasimchukie.

Najua yuko strong ndio maana ameweza kusoma na kuperform. Sio lengo langu kama baadhi wanavyofikiri kusagia uumbaji wa Mungu. Mimi ni nani?
Haya ngoja, nimpe pole na kumtakia kila la heri kama ni msaada. Lengo langu ni kumtoa kwenye unyonge, kumfanya ajiamini ili na waajiri wamuamini.
Sawa, mleta mada, samahani kama na wewe umefeel nimekukosea.
 
Last edited by a moderator:
Mtafutaj achok .mgawawa rizik yupo juu so kila mtu tatapata tuu hata kama kuna folen .inshaallah mungu akutie wepes mkuu
 
Jiamini....pambana kuonyesha uwezo .....maana ukisema utumie ulemavu kupata kazi kwa huruma ya mwajiri utafeli maisha yako yote.Jitoe jembe langu tumia kipaji chako cha kuzaliwa nacho.
 
Tuone docta Mengi...na H.POPPE..mojakwamoja watatoa ushirikiano.ila wizara ya ajira huko usiende hawana ushirikiano kabisa.maneno Mengi.
 
Back
Top Bottom