Natafuta kazi/kibarua

Jfrank

Member
Aug 3, 2018
22
9
Nina shahada ya uhasibu kutoka IFM since 2015.
Naomba yeyote mwenye kufaham ni wapi kazi inaweza kupatikana kwa urahisi aweze kunipa taarifa kwani nishatuma barua nyingi sana za kuomba kazi bila mafanikio yoyote.
Au yeyote mwenye kibarua chake chochote anachoona anaweza kunipa nafasi asisite kufanya ivo kwani nina amini kwa kufanya kazi na mimi ofisi yako itakuwa imempata mtu sahihi kwa maendeleo ya ofisi kwani mimi ni mtu mkweli, mtiifu, mwadilifu na mwenye bidii katika kazi.

Vilevile nina ujuzi wenye kuleta tija katika kazi Kama vile ujuzi wa kwenda na wakati, ujuzi wa kutatua matatizo na kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi, ujuzi wa kuongea na kuchangamana na watu pamoja na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Kuhusu malipo hilo halina shaka kwani nipo tayari kufanya kazi kwa ujira wa kuanzia Tsh. 300,000 tu.

Kwa mawasiliano tumia namba 0714 343 856.

MUNGU awabariki sana.
 
Ila mkuu kuanzia 2015 mpaka leo hujapata kazi..una umri gani pia huna skills zozote kama ufundi ili uendelee kujipatia kipato
 
Hili jamaa ni jizi na tapeli,juz c ndo umepost nafasi za kazi imaraseko,ulivoon watu tumekushtukia ukasepa na kufuta tangazo,una matatzo gan broo,mbona Ww tapeli sana ,utamfanyia nan kazi sasa?badilika
 
Ebu Kaka jaribu kuwa mstaarabu, Kama unaona tangazo halikuhusu hamna haja ya ww kuchangia brother.
 
Ila mkuu kuanzia 2015 mpaka leo hujapata kazi..una umri gani pia huna skills zozote kama ufundi ili uendelee kujipatia kipato
Nina 28 sasa, Kaka Kuna shughuli ndogondogo najishughulisha nazo, how can I stay just iddle at this age brother,, nitakula kwa nani na ni vp nitakidhi mahitaji yangu madogomadogo.
 
Ebu Kaka jaribu kuwa mstaarabu, Kama unaona tangazo halikuhusu hamna haja ya ww kuchangia brother.
Hakuna cha usitarabu hapa,Ww ni mwizi tena tapeli,ushafungua Uzi Mara mbili na ilaniblock ukiogopa ntakuumbua,acha wizi ,Fanya kazii.ntakuandama mpka uache wizi na utapeli,na huyo mwarabu koko wako mwambie bado nnae ,cku yake yaja ntawasweka central wote
 
Ahaa kumbe bora umetuambia mapema watu kama hawa ni wakupuuzwa katika jamii
 
Nina shahada ya uhasibu kutoka IFM since 2015.
Naomba yeyote mwenye kufaham ni wapi kazi inaweza kupatikana kwa urahisi aweze kunipa taarifa kwani nishatuma barua nyingi sana za kuomba kazi bila mafanikio yoyote.
Au yeyote mwenye kibarua chake chochote anachoona anaweza kunipa nafasi asisite kufanya ivo kwani nina amini kwa kufanya kazi na mimi ofisi yako itakuwa imempata mtu sahihi kwa maendeleo ya ofisi kwani mimi ni mtu mkweli, mtiifu, mwadilifu na mwenye bidii katika kazi.

Vilevile nina ujuzi wenye kuleta tija katika kazi Kama vile ujuzi wa kwenda na wakati, ujuzi wa kutatua matatizo na kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi, ujuzi wa kuongea na kuchangamana na watu pamoja na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Kuhusu malipo hilo halina shaka kwani nipo tayari kufanya kazi kwa ujira wa kuanzia Tsh. 300,000 tu.

Kwa mawasiliano tumia namba 0714 343 856.

MUNGU awabariki sana.
Watu Kama Nyie Mnakera Sana Kuja Kulia Lia humu Mnatafuta Ajira!Kwani Websites Za Ajira Hamuoni Wanamwaga Ajira Kila Mara!Now Kuna Internships Kibao Zimemwagwa!Humu Hakuna wa Kukupa Ajira Zaidi Ya Kukwambia "Usijali Utapata"
 
Mkuu humu ndani kuna watu na ofisi zao,, by imposing yourself pamoja na kuwepa kipande kidogo cha CV wanaweza kuvutiwa nayo na kukucontact,,, izo internships unazozisema twaziona na pia tunazifanyia kazi kwa kutuma application. Siku mambo yakijipa hutokuja ona sura zetu humu tukiomba kazi. We will be busy with work.
 
Guys msimuhukumu mtu kwa kuangalia malalamiko ya mtu mmoja fanyeni utafiti...anyway Kama ni tapeli aache Mara moja ataishia kufa maskini hela za utapeli hazina Baraka hata kidogo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom