Natafuta kazi/kibarua

Natafuta kazi/kibarua

Nina shahada ya uhasibu kutoka IFM since 2015.
Naomba yeyote mwenye kufaham ni wapi kazi inaweza kupatikana kwa urahisi aweze kunipa taarifa kwani nishatuma barua nyingi sana za kuomba kazi bila mafanikio yoyote.
Au yeyote mwenye kibarua chake chochote anachoona anaweza kunipa nafasi asisite kufanya ivo kwani nina amini kwa kufanya kazi na mimi ofisi yako itakuwa imempata mtu sahihi kwa maendeleo ya ofisi kwani mimi ni mtu mkweli, mtiifu, mwadilifu na mwenye bidii katika kazi.

Vilevile nina ujuzi wenye kuleta tija katika kazi Kama vile ujuzi wa kwenda na wakati, ujuzi wa kutatua matatizo na kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi, ujuzi wa kuongea na kuchangamana na watu pamoja na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Kuhusu malipo hilo halina shaka kwani nipo tayari kufanya kazi kwa ujira wa kuanzia Tsh. 300,000 tu.

Kwa mawasiliano tumia namba 0714 343 856.

MUNGU awabariki sana.
Jaribu kupita na huku mkuu unaeza pata chochote
145 Job vacancies at MNMA, UDSM, OSHA, TBA, TMA, DART, NACTE, IFM, CMSA & Law School of Tanzania
 
Msenge ni ww mchambia kokoto usokua na haya fala sana ww,kama hujui kitu tuliza mkundu wako,au unashirikiana na huyo mwizi mwenzio?
Kwa mtu mwenye akili timamu akiona maandiko yako tu anang'amua moja kwa moja kwamba unakosa malezi ya baba, mwanaume huwezi kutawala uzi ukiwa unazusha tu kashfa na kumwaga matusi kwa mwanaume mwenzako bila kuleta uthibitisho usioacha shaka juu ya tuhuma hizo. Shut the *** up and get a life, imbecile.
 
Habari wana jamii, bado niko na huu uzi wngu,, naomben sana msaada wenu kwa mwenye A B C kuhusiana na huu uzi
Unaweza kufanya kitu gani kwa ufasaha? Leta idea na skills mimi naweka mpunga tutagawana faida.
 
Nipigie 0692470547/0658276181
Nina shahada ya uhasibu kutoka IFM since 2015.
Naomba yeyote mwenye kufaham ni wapi kazi inaweza kupatikana kwa urahisi aweze kunipa taarifa kwani nishatuma barua nyingi sana za kuomba kazi bila mafanikio yoyote.
Au yeyote mwenye kibarua chake chochote anachoona anaweza kunipa nafasi asisite kufanya ivo kwani nina amini kwa kufanya kazi na mimi ofisi yako itakuwa imempata mtu sahihi kwa maendeleo ya ofisi kwani mimi ni mtu mkweli, mtiifu, mwadilifu na mwenye bidii katika kazi.

Vilevile nina ujuzi wenye kuleta tija katika kazi Kama vile ujuzi wa kwenda na wakati, ujuzi wa kutatua matatizo na kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi, ujuzi wa kuongea na kuchangamana na watu pamoja na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Kuhusu malipo hilo halina shaka kwani nipo tayari kufanya kazi kwa ujira wa kuanzia Tsh. 300,000 tu.

Kwa mawasiliano tumia namba 0714 343 856.

MUNGU awabariki sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom