msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,204
Heshima KWAKO!Wabongo Mna roho mbaya sana,mtu kaamua kuomba msaada inaanza kumkashifu na kumkejeli. Kwank lazima uandike kitu katika kila thread?? Tena wengine wanaume wazima Mna midevu mnaandika ushuzi... Mxiuuuuuu. Mnaboa kweli kweli WaTz wenzangu,wanaume wazima tabia za kimama.
Acheni haipendezi.
Mkuu ally,wapo watu serious utafanikiwa,achana na hao wasio na lolote la kujenga kila kukukatisha tamaa..
Majitu mengine humu huwa yanaboa kinoma.