Natafuta kazi kazi ya usafi, upishi au kuuza duka nina elimu ya kidato cha nne

Habarini ndugu wana jf,

Niko hapa nina shida natafuta kazi yeyote usafi, kufua , upishi, kazi ya duka aina yeyote Nina uzoefu nazo, elimu yangu kidato cha nne.

Napatikana Moshi/Mwanga nisaidieni.
Upishi wa nini??umri wako ni miaka mingapi?je kama kazi ikitokea dar unaweza kufanya?jinsi yako ni ME/KE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom