benwise Senior Member Joined Oct 24, 2015 Posts 114 Reaction score 105 Nov 23, 2015 #1 Habari zenu wakuu!! Mimi ni kijana mwenye utaalam katika shughuli za muziki ikiwa ni pamoja na uwezo mkubwa wa kupiga vyombo vya muziki live na pia kwa shughuli za studio,hivyo kwa mmiliki yeyote wa studio aliye tayari tunaweza kufanya kazi pamoja
Habari zenu wakuu!! Mimi ni kijana mwenye utaalam katika shughuli za muziki ikiwa ni pamoja na uwezo mkubwa wa kupiga vyombo vya muziki live na pia kwa shughuli za studio,hivyo kwa mmiliki yeyote wa studio aliye tayari tunaweza kufanya kazi pamoja