Natafuta kazi Kariakoo kwenye duka stores hardware

Dec 20, 2016
98
109
Kwema ndugu zangu
Naitwa makolelo
Mkazi wa dar es salaam
Elimu diploma of business administration

Nimekuja kwenu natafuta kazi ya kuuza duka la fashion nguo viatu na vitu vingine
Na,uzoefu wa miaka mitatu kufanya kazi Kwenye maduka ya outfit hapa dar es salaam

Nahitaji msaada wa kazi au Connection ya kazi
Natanguliza shukrani
Namba 0657710078
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom