Natafuta kazi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MALINI, Jun 5, 2012.

 1. M

  MALINI Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani marafiki natafuta kazi ya receptionist au customer care au yoyote inayohusika katika ofisini. Elimu yangu ni ndogo tu ni certificate ya shipping and port operation. Napenda sana kujiendeleza lkn pesa ndio tatizo! Aliye na nafasi anisaidie nina ujuzi wa computer, naweza kuitumia vizuri sana kwa kazi za osisini.
  asanten kwa hayo machache
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,707
  Likes Received: 8,253
  Trophy Points: 280
  try skylink...!
   
 3. M

  MALINI Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilishapeleka application na CV lkn sijapata bado
   
 4. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama unaweza ujasiliamali nitafute uweze anza kujiajili taratibu nitakupa jinsi ya kupita
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tanzania Ports Authority wametoa matangazo mara kwa mara kutaka Port Attendants na Time Watchers kwa maoni yangu huwa hawapati right candidates ndio maana tangazo linajirudia mara kwa mara.

  Jaribu kutafuta mawasiliano nao upate taarifa pindi wakiajiri
   
 6. M

  MALINI Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MH nafasi za pale bandari kazi sana kuzipata
   
Loading...