willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,084 Reaction score 1,328 Jul 24, 2015 #22 Nakushauri tu dada yangu nenda veta usitoe namba yako utachezewa humu kuna fataki .
U usawa wa kulia JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 454 Reaction score 154 Jul 28, 2015 #23 TONY LOVE said: Nipm namba yako nikusaidie. Click to expand... tapeli mwingne wewe...
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,490 Reaction score 2,493 Jul 29, 2015 #24 usawa wa kulia said: tapeli wewe....wewe jamaa unataka umrubuni nini dada wa watu huku mwenyewe unatafuta kazi? Click to expand... Ni daktari bingwa huyo tena alisema ana uzoefu kazini zaidi ya miaka 15 lakini mshahara wake haujafika hata 1m!!!!! Hatari sana!!!
usawa wa kulia said: tapeli wewe....wewe jamaa unataka umrubuni nini dada wa watu huku mwenyewe unatafuta kazi? Click to expand... Ni daktari bingwa huyo tena alisema ana uzoefu kazini zaidi ya miaka 15 lakini mshahara wake haujafika hata 1m!!!!! Hatari sana!!!
W wachafu Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Aug 1, 2015 Thread starter #25 habari naomba msaada natafuta kazi yoyote hata kama ni usafi wa maofisini supermarket nk.kwa anaejua naombeni msaada wenu
habari naomba msaada natafuta kazi yoyote hata kama ni usafi wa maofisini supermarket nk.kwa anaejua naombeni msaada wenu
E ELAFU JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 410 Reaction score 151 Aug 1, 2015 #26 Wachafu ??!! Kazi Ya Usafi??!! Itabidi Tuwe Makini Na ID Zetu
W wachafu Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Aug 1, 2015 Thread starter #27 hilo ni jina tu.WW soma kilichoandikwa kama huwez kaa kimya
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,707 Reaction score 15,447 Aug 1, 2015 #28 nenda st Anne Marie school,Mbez msuguri