Natafuta kazi, Elimu kidato cha Nne

Natafuta kazi, Elimu kidato cha Nne

wachafu

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20
Reaction score
0
Naombeni msaada wanajamvi ni msichana Nina umri wa miaka 20 Nina elimu ya kidato cha nne natafuta kazi yoyote ya halali itakayoniwezesha kupata kipato.

Nilianza kusoma chuo lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo .

Nina pass nzur katika masomo yangu kwahiyo naomba msaada wenu.

Mungu awabariki .

Asanteni
 
upo mkoa na sehemu gani? kama unaweza ni pm naweza kukupa mwanga
 
Una uzoefu wa kazi yoyote inayohitaji kuwa haraka katika ufanyaji kazi?! Hesabu kidogo za pesa na je ni muaminifu na upo tyari kuleta barua ya serikali za mitaa na wadhamini ambao ni watu wako wa karibu!? Wazazi au walezi!? PM only if upo serious
 
nipo tayari naomba nisaidie 0688661084 au naomba namba yako nikutafute
 
Unatakiwa useme kuwa unapenda kz gani pia useme jinsia yako,kama ni me njoo nikufundishe ufundi wa magari kama unaipenda iyo kz.
 
asante kwa ushauri wako lakin najua hujui kuwa simu niliyotumia ni ya nan na sio kila ambae anaingia humu ana smart
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom