Evodia Julius
Member
- Mar 19, 2024
- 6
- 3
Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
Ulimcheki yule jamaa maana naona ukicomment kwenye ule uzi.Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
Ndio, hajareplyUlimcheki yule jamaa maana naona ukicomment kwenye ule uzi.