Natafuta kazi au (tempo) Dar es Salaam

ck carnj

Member
Aug 1, 2013
12
2
Mimi ni Mwanachuo namalizia Degree yangu lakini pia Nina diploma, Hivyo nlikua natafuta kazi au kufanya kwa kujitolea (volunteer) ilimradi angalau maslahi madogo madogo yawepo kama pesa za nauli kula n.k.

Ahsanteni
 
Mm n mwanachuo namalzia degree yangu lkn pia Nina diploma, HVO nlikua natafta Nazi au kufanya kwa kujitolea (volunteer) ilmrad angalau maslah madgo madgo yawepo km pesa z naul kula n.k...akhsanteni

Unamalizia degree ya masomo gani? Kuvolunteer ni jambo zuri isipokuwa jitahidi kurekebisha makosa madogo madogo ya msingi kama hayo niliyoyakoleza.

Hivi ndivyo vitu vinavyoonesha umakini wako katika kile unachonuia kufanya, vinginevyo, nikutakie mafanikio katika nia yako
 
International logistic and transport
 
Njoo Bagamoyi kuna nazi nyingi bei poa (nazi 10 tsh 2000 ) hata ukienda kuuza tsh 500 kwa kipande inakulipa tu
 
Nenda mtama jimboni kwa mh nape nnauye,kuna nazi nyingi sana hata bila diploma yako unapata
 
Nenda gengeni kwa mama Tabu kashusha mzigo jioni ya leo .(tena nazi zake kubwa)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom