Natafuta kazi au kibarua cha muda mfupi

Spark Gap

Member
Jan 4, 2016
62
20
Habari wana bodi,

Mimi ni Kijana ninae subiri kusonga mbele kimasomo kwa wakati huu ambao niko Free ningeomba tempo popote ya Field yangu hii ya umeme kwani nina uzoefu nayo.

Vitu ninavyoweza kwa ufasaha
-Domestic Installation yani umeme wa majumbani wote
_Planning and diagram preparation kuandaa michoro ya nyumba ya kila aina.

Machine pia japo sio deep sana ila Nafunga starter za aina Zote pia kurepair vitu kama heater,Fan,cooker na appliances kadhaa Nina Basic knowledge ya Electronics Pia Naomba kwa Yoyote anae penda tufanye kazi napatikana Kuanzia Contractor mpaka hawa waandisi wa viwanda Kazi hii naomba kama temporary kwani sina muda ntarejea masomoni napatikana mkoani Tanga na mawasiliano yangu 0655500066 Elimu yangu ngazi ya cheti. Asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Braza angu ana kampuni ya umeme. Ngoja nicheki naye then nitakujulisha kama utaweza kujishikisha japo upate uzoefu zaidi na kuacha kukaa ido
 
wadungu mm nimwanachuo apa SUA naomba nasoma agric general mwaka wa tatu ninaomba mnisaidie sehem ya kufanyia field kwenye private company mbarikiwe no
0765714112
 
Back
Top Bottom