Mimi ni kijana wa kiume,Nina umri wa miaka 29,napatikana mkoani Ruvuma.Nina elimu ys Stashahada ya Matumizi ya zana katika kilimo (Diploma in Agromechanization),nimejihusisha na Project mbalimbali za kilimo na nimefundisha Chuo cha kilimo.
Mwenye fursa yeyote naomba anifahamishe.
Shukurani kwenu.
Mwenye fursa yeyote naomba anifahamishe.
Shukurani kwenu.