Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,404
- 56,050
Aisee kunakuaga na hofu flan ya kutokua na uhakika wa Kodi, chakula na nauli lkn baada ya mda mambo yanaanza kujipa yenyewe, shida watu hawapendi kuanzia chinitoka.kwenye comfort zone mkuu...jitungue mbali na ulipozoeleka