natafuta kazi ktk kada ya kilimo na mifugo ngaz ya cheti,wadau kama kuna mtu au kampun anisaidie na aniwezeshe kutimiza ndoto yangu,maana tangu mwaka 2012 mpaka leo sijawahi kupata kaz/kibarua licha ya juhudi zangu za kutafuta kaz kugonga mwamba kila mahali.kama kuna mdau anichek kupitia email yangu:imranmwombeki@yahoo.com