natafuta kaz(temporary teaching in mathematics)

temboemll

Member
Apr 12, 2012
46
2
habar wanajamii! Nimemaliza masomo ya kidato cha 6, natafuta tempo ya kufundisha hesabu mashulen au centers, kidato chochote 1 mpaka 6. Nipo tayar kufundisha hapa mkoani dar au pwani. Au nipen msaada wa shule zilizopungukiwa na walimu? Na eti walim wa field muda wao unaisha lin!?
 
Back
Top Bottom