Natafuta kaz jamani

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
251
434
jaman natafuta kaz katika kampuni yoyote elimu yangu nidiploma ya journalism, pia nina uzoefu na computer
 
jaman natafuta kaz katika kampuni yoyote elimu yangu nidiploma ya journalism, pia nina uzoefu na computer

elezea zaidi compitence hata pia uzoefu wa articles ulizowahi kuandika itasaidia zaidi. Jaza nyama maelezo yako happy.
 
Nakushauri jitahidi kuongeza Elimu, kwani hako kako ni kadogo mno.



Ndugu hakuna siyehitaji kuendelea kusoma ila kinacholeta kikwazo ni hizo hela za kulipia ada.


so ni vyema kumpa moyo jamaa atafute kazi ili baadaye aweze kijisomesha kwa kutumia ela yake mwenyewe.
 
kama tu upo dar, na kama unaweza kufanya kazai kama pr naomba unipm unipe contact nikuelekeze kwenye kampuni yetu.
sipo dar lakini kama itapatikana ninaweza kuwa kwani nina ndugu nna jamaa zangu huko any way 0752888025, 0784413838, 0653888022.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom